Sunday, September 9, 2012

USA mabingwa wa kombe la dunia wanawake under 20.

USA hapo jana walifanikiwa kujishindia kombe la dunia la soka under 20 kwa wanawake huko Japan ambapo waliwafunga Ujerumani goli 1-0.Lilikua goli pekee kufungwa hawa Wajerumani katika hili kombe.Japan waliifunga Nigeria 2-1 kujitwalia nafasi ya 3.

No comments:

Post a Comment