Tuesday, September 4, 2012

Michael Owen ajiunga na Stoke City

Stoke City wamethibitisha kumsajili Michael Owen muda mfupi uliopita kupitia tovuti ya Klabu hiyo.Akiwa mchezaji huru amesaini mkataba wa mwaka mmoja.

No comments:

Post a Comment