Wednesday, September 5, 2012

Tanzania yashuka nafasi 4 viwango vya ubora FIFA

Tanzania imeshuka nafasi 4 katika viwango vipya vya ubora vilivyotolewa na FIFA hapo jana na sasa inakamatia nafasi ya 132.Kazi ipo na wengi watamkumbuka Maximo namna hii.hebu tembelea hapo chini ujionee.
http://www.fifa.com/worldranking/rankingtable/index.html?intcmp=fifacom_hp_module_ranking

No comments:

Post a Comment