Sunday, September 2, 2012

FC Bayern 6 - 1 Stuttgart

FC Bayern Munich jioni ya Jumapili 02/09/2012 imefanya mauaji makubwa kwa kuitandika Stuttgart magoli sita kwa moja katika staili ya aina yake.Matokeo yamekuja hivi ikiwa mabingwa watetezi Borrusia Dortmund walikamatwa na kulazimishwa sare ugenini jana na Nurnberg

No comments:

Post a Comment