Sunday, September 9, 2012

Andrew Ward atetea ubingwa wake wa dunia WBC-WBA super middleweight

Andrew Ward alimpiga kwa knock out Chad Dawson katika raundi ya 10 sekunde 15 kabla ya kuisha kwa raundi.Hii ilikua mbele ya mashabiki wa nyumbani wa bwana Dawson huko Aukland,California ambaye pia alikua bingwa wa dunia wa WBC katika uzito wa Light Heavyweight.Hii inampa Ward rekodi ya kupigana mapambano 26 bila kupigwa huku akiwa ameshashinda kwa knock out mara 14.

No comments:

Post a Comment