Juu ni Manchester City wakishabikia ushindi wao wa Dakika za mwisho za mchezo kwa umahiri wa Edin Dzeko anayeshangilia bila shati Pichani.Alifunga magoli yao yote mawili akitokea benchi. West Brom 1 - 2 Man City (Jumamosi 21/10/2012)
Chelsea wameendeleza kazi ya kuuelekea ubingwa kwa kuwacharaza majirani na mahasimu wakubwa wa Arsenal pale London Kaskazini na matokeo yalikuwa
Tottenham 2 - 4 Chelsea (Jumamosi 21/10/2012)
Arsenal waliaibishwa na kuondoka Carrow Road na kumbukumbu mbaya ya kufungwa goli moja huku Arsene Wenger akikasirishwa na kulalamikia kiwango kibovu cha timu yake.
Norwich 1 - 0 Arsenal (Jumamosi 21/10/2012)
Mechi zingine zilizochezwa siku hiyo matokeo yalikua hivi:
Fulham 1 - 0 Aston Villa
Liverpool 1 - 0 Reading
Man Utd 4 - 2 Stoke City
Swansea 2 - 1 Wigan
West Ham 4 - 1 Southampton
Jumapili 22/10/2012
QPR 1 - 1 Everton
Sunderland 1 - 1 Newcastle
No comments:
Post a Comment