Monday, February 25, 2013

Floyd Mayweather akisherehekea birthday yake

Najua nilizidiwa na njaa za mjini nikawakacha wadau.Mnisamehe bure.
Haya hapa nimeikuta mahali hii nikasema niwashirikishe.Floyd Mayweather akisherehekea birthday yake ndani ya private jet huku pembeni kukiwa na maburungutu ya noti.Picha pembeni ana zawadi ya saa na nadhani mnaiona keki maalumu ya kusherehekea bday inafanana na noti zake huyu.
Ni mwanamichezo tajiri zaidi kati ya wanamichezo wanaocheza michezo ya mtu mmoja mmoja na sijui atapigana na Pacman mwaka huu?!
Hivi mie hata birthday yangu naikumbuka kweli?